ukweri ambao hauwezi kufichika ni kwamba watoto wengi sana afrika wana athirika kwa kiwango tofautitofauti,kutokana na matatizo mbali mbali ya ki jamii na kifamilia,lakini baadhi ya matatizo yanatokana na bara huska na nchi huska.Hivyo basi ni mhim sana kila mtu kwenye nchi yake au kwenye makazi yake kuhakiikisha anatoa msaada kwa jamii kuhusu kumwokoa mtoto katika mazingira anayo ishi au unyo ishi