Thursday, August 23, 2012

watoto wengi sana wanaonewa sana na baadhi ya jamii frani hulipuuzia swala hili,,visit us www.envaya.org/SCCM

Tuesday, August 14, 2012

my vision about this ministry

Watoto hawa wanasoma  kwashida sana na wapoTanzania

maono yangu ni kwamba kuhakikisha watu wote wana elewa  umhim wa kumwokoa mtoto kuanzia majumbani mwao hadi kwenye jamii inayo wazunguka ktk jamii husika.,kama tunaweza kumwokoa mtoto ina maana tuna okoa taifa la Tanzania la kesho hivyo kalibu tuwajibike kwa pamoja.kwa swala la kumwokoa mtoto asante,,,

mission
sccm is dedicated to providing a safe, developmentally appropriate environment for disadvantaged children around Tanzania.This will also include promoting and protecting the health and well-being of children around the Tanzania


vision
the vision of sccm is to have a Tanzania where the underprivileged children can attain the right to protection ;development ,and survival.