Wednesday, October 3, 2012
ukweri ambao hauwezi kufichika ni kwamba watoto wengi sana afrika wana athirika kwa kiwango tofautitofauti,kutokana na matatizo mbali mbali ya ki jamii na kifamilia,lakini baadhi ya matatizo yanatokana na bara huska na nchi huska.Hivyo basi ni mhim sana kila mtu kwenye nchi yake au kwenye makazi yake kuhakiikisha anatoa msaada kwa jamii kuhusu kumwokoa mtoto katika mazingira anayo ishi au unyo ishi
Thursday, August 23, 2012
watoto wengi sana wanaonewa sana na baadhi ya jamii frani hulipuuzia swala hili,,visit us www.envaya.org/SCCM
Tuesday, August 14, 2012
my vision about this ministry
Watoto hawa wanasoma kwashida sana na wapoTanzania |
maono yangu ni kwamba kuhakikisha watu wote wana elewa umhim wa kumwokoa mtoto kuanzia majumbani mwao hadi kwenye jamii inayo wazunguka ktk jamii husika.,kama tunaweza kumwokoa mtoto ina maana tuna okoa taifa la Tanzania la kesho hivyo kalibu tuwajibike kwa pamoja.kwa swala la kumwokoa mtoto asante,,,
mission
sccm is dedicated to providing a safe, developmentally appropriate environment for disadvantaged children around Tanzania.This will also include promoting and protecting the health and well-being of children around the Tanzania
vision
the vision of sccm is to have a Tanzania where the underprivileged children can attain the right to protection ;development ,and survival.
Subscribe to:
Posts (Atom)